Daudi ballali funeral sermons

  • Daudi ballali funeral sermons
  • Daudi ballali funeral sermons free.

    Daudi ballali funeral sermons

  • Daudi ballali funeral sermons
  • Daudi ballali funeral sermons youtube
  • Daudi ballali funeral sermons free
  • Free short funeral sermons printable
  • Daudi ballali funeral sermons today

  • “Ni kweli nilishiriki kwenye maziko kwa sababu mimi kama Balozi wa Tanzania wakati huo ndiye nilikuwa mwakilishi wa Serikali pale Washington, lakini jambo la pili ni kwamba binafsi nilimfahamu Ballali kwa muda mrefu, kwa hiyo hata kama nisingekuwa balozi lazima ningekwenda kuzika tu.” Balozi Ombeni Sefue.



    Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania BOT), Marehemu Daudi Ballali aliacha wasia unaotaka maiti yake isionyeshwe hadharani atakapofariki dunia na wala maiti yake isiletwe Tanzania kwa ajili ya maziko.

    Ballali aliyefariki Mei 16, 2008 na kuzikwa Mei 23 mwaka huohuo katika makaburi ya Gate of Heaven, eneo la Silver Spring, Maryland nchini Marekani alifahamu kuhusu kifo chake wiki mbili kabla, baada ya matibabu kushindikana.

    Mwandishi wa Mwananchi aliyekuwa nchini Marekani kwa siku kumi kufuatilia suala hilo, alibaini kuwa kiongozi huyo alilazwa mara ya pili katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha George Washington, April 2008 na alirejea nyumbani kwake, Washington